side ads

TFF, KWANINI MWATUTAFUTA MANENO LAKINI?

Hivi hawa jamaa, hawakuyajua haya wakati walipokuwa wanafanya jitihada za kuwaleta Brazil? Na kama waliyajua lakini wakaendelea tu na harakati zao kwa kisingizio cha eti mechi ya kihistoria, sijui ya upuuzi gani, kwanini wanalalamikia kupata hasara? Kwanini mnatutafuta maneno jamani? Hebu someni wenyewe kwa kubofya HAPA.


The Tanzanian Football Federation are facing a big financial loss after a poor turnout to see Brazil beat Tanzania 5-1 in a friendly on Monday. Fans were put off by record entrance fees ranging from 25-180 US dollars to see the world's best team.
Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni: