side ads

MWAKA MMOJA WA BAMBATAA BLOG.... BRAVO MALKIA

Wiki iliyopita, blogi ya Bambataa chini ya Malkia Sophie Kessy, ilitimiza mwaka mmoja. Na katika kutimiza mwaka huo mmoja, malkia alisambaza ujumbe  ufuatao kwa wadau wake wote.

 Baaada ya Mwaka1 wa kuendesha blog inayohusu masuala mbalimbali ya wanamuziki na muziki wa kiafrica nimefanikiwa kujifunza mambo mengi sana ingawa ni kazi ngumu kwelikweli lakini namshukuru Mungu ananipa moyo wa Ku deal na watu mbalimbali.


Leo hii naomba kuitambulisha kwa Mara nyingine tena na kwa wale wasioifahamu naomba kuitambulisha blog yangu ya Bambataa,kwa wale wasioifahamu na wale ambao wanaoifahamu naomba sana tuendelee kushirikiana na kuendelea kuutanga Muziki wa Kiafrika ndani na nje ya mipaka yetu.


Kama unapenda kujua lolote kuhusu muziki au una lolote kuhusu muziki wa Africa unataka kunishirikisha ili tujalidi na wengine nao wafaidi basi nifikishie nami nitayafanyia kazi.

sophia80tz@yahoo.com lakini pia Tembelea www.africabambataa.blogspot.com kutana nami Malikia wako nikuenzi kiafrica kupitia clouds Fm the people station kuanzia saa moja mpaka saa tatu usiku kila siku jumatatu mpaka ijumaa asanteni na karibuni sana .

Pichani ni wana- NIGHT Express. Kutoka Kushoto ni : DJ BULA , DJ 2SHORT ,Malkia mwenyewe, ANTONIO NUGAZ AKA SWAHIBA PAMOJA NA MAESTRO WA MICHEZO X TR
Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni: