side ads

Unazijua sehemu hizi ziitwazo World's Happiest Places?

Kama ulidhani kuwa Tanzania ndio sehemu yenye kila kitu kama ambavyo wanasiasa wamekuwa wakitudanganya kuwa nchi hii ni ya kipekee na ambayo maisha hayana kwere kabisa, basi ulikosea sana. Maana hata si miongoni mwa nchi 20 ambazo zinachukuliwa kuwa ndizo nchi zilizo bora kabisa kwa mwanadamu kuyafurahia maisha. Hebu bonyeza HAPA, kusoma sehemu hizo, kisha ulinganishe na kile tunachoelezwa kuhusu nchi yetu
Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 maoni:

Anonymous said...

Kaka Ramadhani,

tungeweza kuwa mojawapo ya nchi ishirini duniani ambaazo wanadamu wanaweza kufurahia maisha! kutokana na mifumo na sera duni hii ndio inafanya tuzidi kuwa na umaskini uliokithiri.

Kila la kheri kaka na kazi yako nzuri.

Ramadhani Msangi said...

asante sana mchangiaji ambaye hujataka jina lako kujulikana. Asante kwa pongezi zako. Na tukirejea katika mada uliyoichangia, ningependa labda unisaidie wewe na wadau wengine kuwa, HIVI NI NANI AMBAYE ANAHUSIKA KATIKA KUIFANYA NCHI YETU ISIWE MIONGONI MWA NCHI HIZO? NI RASILIMALI KUWA HAZIPO AU? NI WANANCHI< WATAWALA AU WOTE KWA PAMOJA? NA NINI KIFANYIKE SASA?