side ads

NCHI YANGU KAMA UKUMBI WA SARAKASI VILE

Namkumbuka sana Marehemu Vivian Tilya, na ule wimbo wake wa SIWAELEWI. Maana kwa hali ilivyo hapa nchini hivi sasa, mh!! Siwaelewi Watanzania wenzangu, siwaelewi viongozi wangu, siwaelewi wasomi wetu, siwaelewi wote kwa ujumla.
Tunaishi tu bora tuko duniani, bora kunakucha na kuchwa, tunaishi tu kwakuwa siku zinasonga na muda wetu wa kurejea mavumbini haujawadia. Kifupi tupo tupo tu.
Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni: