side ads

KWELI, TURUDISHIENI TANZANIA YETU YA UKWELI, SI HII YA KISIASA

Huyu binti hapa chini ana miaka 15 tu hivi sasa, lakini tayari ni mama wa watoto wawili aliowazaa kwa mpigo mmoja, yaani mapacha. Akikuelezea sababu za kuwa hapo unaweza ukalia machozi ya damu, lakini ukweli ni kuwa yaliyomtokea, yamewatokea wengi kutokana na uzembe wa watu tuliowapa dhamana ya kutuongoza. Ni kama wameuza nchi yetu tayari, na huenda ndio maana jamaa anataka arejeshewe nchi yake, maana amechoshwa na politics za wakubwa.Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni: