side ads

HII NDIO TANZANIA...NA HAWA NDIO WATANZANIA WENZANGU

ah!! nitasemaje tena jamani mie? Hawa ndio Watanzania wenzangu. Kila shida zinavyozidi kutukabili, ndivyo akili zetu zinavyozidi kufanya kazi. Sijui hayo ni madhara ya kujaa kwa betri feki za simu hapa nchini, mbwembwe au madoido tu, lakini vyovyote iwavyo, picha ndio hiyo.
Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni: