side ads

PARADISE BAGAMOYO YATEKETEA KWA MOTO!!

Wafanyakazi wa kikosi cha Zimamoto wakijaribu kuzima moto katika moja
ya majengo ya iliyokuwa Hoteli ya Paradise Resort Bagamoyo, hoteli
hiyo imeteketea kabisa kwa moto uliotokana na hitilafu ya jiko na
kusababisha hasara ya dolla za kimarekani milioni 10 na wafanakazi
wake kukosa ajira.
Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

Yasinta Ngonyani said...

Pole kwa yote na hasa kwa waliokosa kazi. Ila nashukuru kama hakuna aliyepoteza maisha