side ads

JUMUWATA, TAARIFA TOKA KWA MWENYEKITIJamani, ahadi ni deni, nimetimiza ahadi yangu kuhusu kusema machache kuhusu JUMUWATA, na taarifa yangu kama nilivyoeleza awali, iko tayari na kila anayetaka kuisoma naomba aisome kwa kubonyeza hapa.
Naomba kila mmoja aipitie kwa undani, asambaze ujumbe, na atoe mchango wake ili ndoto hii itimie. Pia nawaomba wanakamati wenzangu, na wadau wengine wote walioshiriki kuasisi wazo hili, kunisahihisha katika taarifa hiyo, ikiwa kuna mahali kuna mapungufu kadhaa wa kadhaa.
Majadiliano ni niia bora ya kuelekea maendeleo endelevu
Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 maoni:

Yasinta Ngonyani said...

Umefanya vizuri kutimiza ahadi. kwani ahadi ni deni

Egidio Ndabagoye said...

Ndugu mwenyekiti nimekusoma vizuri.Nionavyo mimi jumuiya yetu imekosa chachu.Nakumbuka kipindi kile vugu vugu la uanzishwaji jumuiya ulivutia watu wengi na wakaanza kublogu.

Kweli msongo wa maisha na miundombinu lakini nachelea kutokukubaliana na hoja hiyo kwa asilimia 100.

Tupo pamoja.