side ads

Breaking news....Paradise Inn, yateketea kwa moto

Taarifa ninazozipata muda huu toka kwa wanamtandao wangu, zinaeleza
kuwa hoteli kadhaa mjini Bagamoyo, zinateketea kwa moto, ikiwemo
hoteli mashuhuri ya Paradise.

Habari zaidi kuhusu tukio hili, ikiwa ni pamoja na picha za tukio,
zitapatikana hivi karibuni.

Tembelea www.fullshangwe.blogspot.com (tukio hili nalo ni shangwe
kweli?), utakapopata picha za tukio

--
Sent from my mobile device

Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni: