side ads

COMFIDENCE......Nothing but utamu tu.....

Waswahili husema "Raha ya ngoma uingie ucheze" mimi nasema "Raha ya kucheza shurti upandwe na mzuka, ingawa sio lazima uvue nguo"... kama huamini basi muulize malkia wa bambataa, bi Sophia Kessy.

Wakati alipokuwa nje ya ulingo wa blogging, bila shaka hakuwa anajua utamu wa hii kitu. Lakini alipojitumbukiza katika ngoma hiyo, akaona utamu wake na sasa kaamua kuifungua kibwebwe huyooooo mtoto wa watu, kwa raha zake anaicheza ngoma..... Hebu mtembelee uone ngoma anayoicheza sasa kwa kubofya hapa
Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni: