side ads

WATAALAMU MNASEMAJE?


Jamaa huyu ambaye kwa madai yake "Betri za sasa za simu zinamsumbua sana" kwakuwa kila akinunua akitumia inamzingua, ameamua kujichukulia hatua ya kuunga betri za national, ili awe anazitumia katika simu yake. Je, wataalamu wa mawasiliano, mnaweza kutueleza nini katika hili?
Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 maoni:

Absolutely Awesome Things (AAT) said...

Hii picha nzuri sana inaonyesha jinsi watu wanavyotaka vitu vya quality. Blog yako nzuri,keep it up na asante kutembelea blog zangu.