side ads

TANZANIA ZAIDI YA UIJUAVYO

Mheshimiwa JK, kama ulidhani kuwa unaijua nchi yako vizuri, basi nadhani ulikosea, maana siamini kama unawajua hawa binadamu aina ya maisha wanayoishi. Tizama hayo maji wanayokunywa, halafu utuelezee kama watu hawa nao wanajua au kuelewa msamiati wa uchumi kukua au kuongezeka kwa makusanyo ya kodi
Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

5 maoni:

Anonymous said...

hivi hawa huko kwao hakuna mamlaka za maji jamani? JK, alifika maeneo hayo alipokuja mbeya, au aliogopa baada ya kupopolewa mawe!!!!! Big-up man. kajumba kako kamependeza sana kwakweli

Yasinta Ngonyani said...

Kwa kweli inaletesha huruma sana na ukizingatia maji ni kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu. Nimeumia sana kwani maisha ya watu hao yapo hatarini ni lazima wasaidiwe na ni sasa sio kusubiri. Hii si haki kabisa Viongozi wanafanya nini jamani???????

Mzee wa Changamoto said...

Mchambuzi wajua napenda nukuu. Wajua nasikiliza Reggae kwa kuwa yatugusa wengi tulio katika maisha yaimbwayo, na pia napenda kwa kuwa ni ukweli zaidi ya burudani. Haya Nasio aliyejumuisha wanasiasa wengi na kutuonya juu ya ziara zao akisema "Their need for way is rising high, while the sufferers are left to die (in starvation and hunger). Vote for me i'll set you free, are lies and hypocrices,...You talk about, you talk about that. Poor people just a suffer (are suffering) while you live out FAT". Amini Rama, natamani kama ningekuwa na la kuongeza, lakini kwa aliyosema Nasio, nadhani yanajumuisha wengi, na si lazima Rais, ila watendaji wake wengi, watendaji wengi wa Afrika na watendaji wengi ulimwenguni.
Bessings

John Mwaipopo said...

Wewe Msangi una matatatizo. full stop. Sasa huoni wewe kuwa kukua kwa uchumi kunaenda sanjari na maisha ya wananchi hao. Hivi wewe huoni hiyo ni chai/kahawa ya maziwa. Watu wajichotea tu pahala popote pasi na shida.
-----------------------------------

Nimekupata mkuu. Niko Dar nasomasoma kidogo kisha ntarejea Mbeya Mungu akipenda mwakani.

emanyo said...

sawa kaka nimekusoma pamoja katika kupambana na ufisadi, bwana mimi bado sijaelewa ni kwa nini watuhumkiwa wanaofikishwa mahakamani ni wale tu ambao sio washikaji sana wa jk naona watu wanaangaliana kwanza machoni kabla ya kushighulikiana au kama ulikuwa na kisa naye siku za nyuma mbona watuhumiwa wengine waliambiwa wazirudishe pesa na hakuna kesi kama wote walifanya kosa basi wahukumiwe kwa mambo machafu waliyofanya maana waligushi sio wengine warudishe pesa na hakuna mashitaka dhidi yao hii inaonyesha watu wanaangaliana machobi kwanza na mbona washikaji kibao wa mshikaji wa jk hawashughulikiwe tunapigwa tu changa la macho eti uchunguzi unaendelea mara tume imetoa mapendekezo yatafanyiwa kazi lini au ndo kama yesu atarudi ujui siku wala saa lakini mimi kwa mtazamo wangu hiki kinachofanyika kwa sasa ni serikali ya ccm ni kujisafisha tu katika kujiandaa na uchaguzi ujao hakunalolote la maana, wasidhani watanzania bado tumelala na eti kwa sasa wanampongeza jk kwa kufanya kazi nzuri ni kazi gani jamani na mpaka wapinzani naona na wao watahishia kuwa wapinzani wa pendelafuata upepo sio kuongoza nchi na labda wanaridhika na ruzuku wanazopata lakini hawana jipya anyway kwa leo nahishia hapo, kama ulivyo shauri mimi email yangu ni emanyomzz@yahoo.com
cheers