side ads

hayawi hayawi, hatimaye yamekuwa!! Karibu tunasihiane

Baada ya subira ya muda mrefu, hatimaye maskani ya Ushauri na Unasihi (The arts of staying and living positiveli), imeanza rasmi mijadala. Changamoto katika maisha ni jambo ambalo sote tumeumbiwa, lakini kila mmoja kati yetu aliliona jua kwa wakati wake, akavuta pumzi ya kwanza akiwa duniani kivyake, akakabiliana na changamoto zake na akafanikiwa kuendelea na maisha.
Haya ndio ambayo tunatakiwa kushirikiana katika maskani ya MNASIHI. Haya ndio mambo ambayo maskani hii imelenga kuyaweka wazi, kuwashirikisha wengine kuyaainisha na kuwasaidia wengine. Karibuni maskani ya MNASIHI, tubadilishane uzoefu wa kimaisha. Tusaidiane kwa wale tulio na matatizo, tupeane matumaini na miongozo ya Maisha.
Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni: