side ads

Hellow

Matatizo katyika maisha, ni sehemu muhimu ya Maisha yenyewe. Ni bahati mbaya sana kuwa mwanadamu kutokana na hulka mbalimbali alizojijengea, amekuwa akiona shida pindi matatizo yanapomtokea, bila kujua kuwa Matatizo ndio yanayofanya maisha yaitwe maisha.

Lakini Matatizo ni nini hasa?, Maisha ni nini hasa? Kwanini watu tunaishi? Kwanini trunakumbana na matatizo? Kwanini ......... na.........? Yapo maswali mengi sana ambayo kila mmoja angelipenda kujibiwa au kuyajibu. Ni kupitia hapa hapa katika uwanja wa Ushauri Nasaha, ambapo yote haya yatakuwa yakipatikana.

Stay tuned
Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni: