side ads

Natafuta funguo


Wapendwa wasomaji, marafiki, wakosoaji na wale wote ambao mmekuwa mkinitembelea kijiweni kwangu kwa muda wote toka nianzishe kijiwe hiki, napenda kuwaomba radhi kwa kuwa kimya kwa muda mrefu kiasi sasa. nakiri kuwa nimekuwa nikikawia sana kuwaletea gumzo jipya mara kwa mara kama ilivyiokuwa awali, lakini mnisamehe sana maana kwakweli nimebanwa na masomo kwa wakati huu. Na kama mnavyojua wahenga walihanikiza "Elimu ni Ufunguo wa Maisha" kwahiyo nimetingwa kidogo na shughuli ya kusaka ufunguo wa maisha yangu.


Nawashukuru sana kwa kuniunga mkono, na nawaahidi kuwa niko pamoja nanyi daima, na pindi masomo yakipungua ukali kidogo, nitajitahidi sana kuwaletea yale mapya niliyokumbana nayo katika safari hii ya sasa.
Share on Google Plus

About Rama Msangi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 maoni:

charahani said...

poa mzee tumekuelewa wadau wako tunajua thamani ya shule, piga shule mwanangu kwa ni shule ndo kila kitu, tutaendelea kukusoma tu!

MICHUZI JR said...

usijali mkuu, tuko pamoja na tunakuombea bora uzima